Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo akashifu uvamizi wa mkutano wa Gavana Orengo

  • | Citizen TV
    3,511 views
    Duration: 2:22
    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amekashifu uvamizi wa mkutano wa Gavana wa Siaya James Orengo hapo jana katika Kaunti ya Migori, akisema Rais William Ruto ameshindwa kukabiliana na wahuni. Aidha, wanasiasa wa upinzani waliozungumza maeneo tofauti nchini, pia wameendelea kuikashifu serikali kwa kutotimiza ahadi zake kwa Wakenya. Emmanuel Too anaaarifu.