Skip to main content
Skip to main content

Kalonzо asema hawezi kuungana na Ruto 2027

  • | Citizen TV
    5,226 views
    Duration: 2:48
    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka sasa anasema katu hawezi kujiunga na Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao, akisema anaweza tu kuwa mpinzani wake debeni. Kalonzo aliyekuwa Kaunti ya Machakos badala yake akimkosoa Rais Ruto kwa kile anasema ni uongozi mbovu wa nchi. Seth Olale ana taarifa kamili.