4 Jul 2026 7:57 pm | Citizen TV 4,028 views Duration: 1:42 Kamanda wa Polisi Ukanda ya Pwani, Ali Nuno, amewaonya wanasiasa wa Kaunti ya Tana River dhidi ya kuunda makundi ya wanamgambo wenye silaha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.