Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge yadadisi matumizi ya pesa za TVET Bungoma North

  • | Citizen TV
    413 views
    Duration: 58s
    Kamati ya Bunge la Kitaifa ya Uwekezaji wa Umma, Utawala na Elimu nchini imezuru Taasisi ya Mafunzo ya Kiufundi ya Bungoma North, katika eneo bunge la Tongaren, kutathmini matumizi ya fedha za umma katika taasisi hiyo.