Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya Makau Mutua yafidia zaidi ya waathiriwa 1,000 wa dhuluma za polisi

  • | Citizen TV
    1,437 views
    Duration: 2:47
    Kamati maalum iliyobuniwa kushughulikia fidia kwa waathiriwa wa dhuluma za polisi inasema inakamilisha shughuli zake, ikiwa tayari imewafidia zaidi ya waathiriwa elfu moja. Kamati hiyo inayoongozwa na Profesa Makau Mutua sasa inawataka wale ambao hawajafidiwa na wana malalamishi kuwasilisha madai yao haraka, kabla ya kufikia mapema mwezi ujao.