Skip to main content
Skip to main content

Kamati za Bunge zajadili utekelezaji wa mkataba wa wafanyakazi wa vyuo vikuu 2025–2029

  • | Citizen TV
    1,725 views
    Duration: 10:57
    Kamati za bunge kuhusu leba na elimu zinakutana na wawakilishi wa wizara za elimu, leba, Tume ya misharaha SRC na baraza la vyuo vikuu la ushauri kujadili masuala ya kutekeleza mkataba wa makubaliano wa 2025 - 2029 wa wafanyakazi wa vyuo vikuu.