- 29,504 viewsDuration: 3:25Maafisa wa upelelezi katika Kituo cha Polisi cha Central hapa Nairobi wameanzisha msako dhidi ya majambazi waliovamia duka la vifaa vya elektroniki na kuiba mali ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni 16. Picha za CCTV, zinaonyesha washukiwa hao wakizungumza na walinzi, muda mfupi kabla ya walinzi hao kupoteza fahamu na kuendelea na mpango wao wa kupora duka hilo.