Skip to main content
Skip to main content

Ruto amjibu Uhuru kuhusu mgombea urais wa upinzani, amtaka kuheshimu cheo chake

  • | Citizen TV
    19,104 views
    Duration: 3:37
    Rais William Ruto naye amemjibu Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusu matamshi yake kuwa upinzani umeshaamua atakayemkabili debeni kwenye kinyang'anyiro cha urais. Rais Ruto aliyemrushia maneno mtangulizi wake amemtaka kuwa na ustaarabu wa cheo chake kama Rais mstaafu. Rais aliyekamilisha ziara yake ya siku nne maeneo ya Gusii pia ameendelea kuwasuta wapinzani wake kama watu wasio na uwezo wa kumbandua mamlakani. Chrispine Otieno anatuarifu zaidi.