23 Jun 2026 11:48 am | Citizen TV 445 views Duration: 1:23 Kamishna wa kanda ya Mashariki Jacob Muganda atoa onyo kali dhidi ya vitendo vya vurugu, uporaji, uharibifu wa mali wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Gen Z yapangwayo kufanyika alhamisi .