Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Piccadilly Holdings yapinga kesi ya Francis Awino kuhusu umiliki wa ardhi Kilimani

  • | Citizen TV
    406 views
    Duration: 50s
    Mvutano wa kisheria kuhusu umiliki wa kipande cha ardhi katika eneo la Kilimani, jijini Nairobi, umechukua mwelekeo mpya baada ya kampuni ya Piccadilly Holdings Limited kuwasilisha pingamizi la awali kupinga kesi iliyofunguliwa na mwanaharakati Francis Awino.