25 Aug 2026 1:31 pm | Citizen TV 1,871 views Duration: 1:59 Kampuni moja ya ulinzi wa kibinafsi mtaani South B, Nairobi, inalilia haki baada ya ofisi zake kuvamiwa na kubomolewa, katika kisa kinachodaiwa kuwa cha unyakuzi wa ardhi.