Skip to main content
Skip to main content

Kanisa katoliki Kitengela laongoza wito wa amani kuelekea uchaguzi

  • | Citizen TV
    466 views
    Duration: 3:43
    Kanisa katoliki katika mji wa Kitengela, kaunti ya Kajiado, limeendelea kutoa wito kwa vijana, jamii na viongozi wa kisiasa nchini kukumbatia amani na utangamano, hasa wakati huu ambapo taifa linaendelea kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Wito huo ulitolewa wakati wa awamu ya tatu ya mbio za kuhubiri amani, zilizoandaliwa mjini Kitengela.