27 Oct 2026 1:50 pm | Citizen TV 36,042 views Duration: 2:00 Kanisa la African Brotherhood (ABC) limewafukuza maafisa wakuu 6 na wanakwaya wote wa tawi la kanisa hilo la makadara hapa nairobi kwa sababu ya utovu wa nidhamu na kwenda kinyume na uongozi na mafundisho ya kanisa.