Skip to main content
Skip to main content

Kanisa la kianglikana lakosoa uvamizi All Saints

  • | Citizen TV
    3,301 views
    Duration: 2:14
    Askofu mkuu wa kanisa la Kianglikana Jackson Ole Sapit amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin kuwachukulia hatua wahuni waliovamia kanisa hilo ijumaa la sivyo waondoke ofisini. Ole Sapit akiwalaumu maafisa hawa wakuu wa usalama kwa kukosa kuwahakikisha wakenya usalama wao.