- 410 viewsDuration: 1:40Viongozi wa kanisa la Kianglikana ukanda wa Upper Southern Nyanza wametahadharisha taifa dhidi ya matukio ya ukandamizaji wa haki za taasisi huru msimu huu wa siasa wakitaka taasisi zilizoteikwa majukumu ya uandalizi wa uchaguzi kutolegeza kamba na badala yake kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.