- 273 viewsDuration: 1:11Kanisa limeitaka serikali kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi inaposhughulikia makundi ya upinzani. Viongozi wa makanisa wanaonya kuwa hatua kama hizo zinaweza kutishia amani na utulivu wa nchi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya