Skip to main content
Skip to main content

Unajua siafu mmoja anauzwa hadi dola 200?

  • | BBC Swahili
    26,766 views
    Duration: 2:01
    Je, unajua kuwa siafu mmoja anaweza kuuzwa hadi dola 220 kwenye soko haramu? Lakini hawa si siafu wa kawaida. Ni malkia wa siafu kutoka Kenya. - Wakusanyaji huwafuga kama wanyama wa majumbani na huwaangalia wakianzisha makazi yao ndani ya masanduku yaliyowazi Mwandishi wa BBC @_phillys na taarifa zaidi - - #bbcswahili #siafu #China #kenya #biasharaharamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw