- 8,409 viewsDuration: 3:01Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja ameponea adhabu ya mahakama katika kesi iliyomkabili ya kukaidi amri ya mahakama. Mahakama Kuu ikimsamehe Kanja huku ikimkanya kuwa haitosita kumwadhibu iwapo atarudia ukaidi huo. Kanja alikuwa amepatikana na hatia ya kukiuka amri na kuzuia raia kuandamana mnamo Juni mwaka jana.. Ben Kirui ana maelezo zaidi