Skip to main content
Skip to main content

Karua akashifu kutekwa kwa mwanaharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya

  • | Citizen TV
    2,708 views
    Duration: 51s
    Kiongozi wa chama cha PLP, Martha Karua, amekashifu kutekwa nyara kwa mwanaharakati wa Tanzania, Twaha Mwaipaya, akiahidi kumuunga mkono katika kufuatilia suala hilo mahakamani. Karua alikuwa akizungumza wakati wa siku ya waandishi katika Chuo Kikuu cha Aga Khan, Nairobi, ambapo alizungumzia safari yake ya kisiasa iliyoelezwa katika kitabu chake Against the Tide.