Skip to main content
Skip to main content

Katibu mkuu wa wizara ya michezo Elijah Mwangi atetea mpango wa kuwaleta Bayern Munich na Ajax Kenya

  • | Citizen TV
    2,206 views
    Duration: 1:25
    Katibu mkuu katika wizara ya michezo Elijah Mwangi, ametetea mpango wa serikali wa kuleta timu mbili za soka za kigeni ambazo ni Bayern Munich na Ajax zitakazoshiriki katika mashindano ya ufunguzi wa uwanja wa Raila Odinga Januari tarehe tano mwaka ujao.