- 786 viewsDuration: 2:20Katika hatua nyingine inayoonyesha ukaidi wa serikali kwa amri za mahakama, Katibu katika idara ya Misitu Gitonga Mugambi, amesisitiza kuwa maandalizi ya ardhi katika msitu wa Imenti yanaeendelea kwa ujenzi wa uwanja wa ndege. Wanaharakati wa mazingira wamepinga ujenzi wa uwanja huo kwenye ardhi ya misitu, na mahakama kutoa agizo kwa ujenzi huo kusitishwa.