Skip to main content
Skip to main content

Katibu wa Uhamiaji Profesa Belio Kipsang abanwa bunge kuhusu paspoti za wageni

  • | Citizen TV
    246 views
    Duration: 1:34
    Katibu wa Uhamiaji Profesa Belio Kipsang amesema stakabadhi za usafiri zinatolewa tu kwa Wakenya na kwamba pasipoti itatolewa iwapo anayetuma ombi ana kitambulisho na hati ya kuzaliwa humu nchini. Kipsang alikuwa akizungumza mbele ya kamati ya bunge ambapo maswali yaliibuka kuhusu madai kuwa raia wa kigeni wakiwemo wapiganaji wa kundi la RSF la Sudan walipewa pasipoti za Kenya kwa njia tatanishi..