Skip to main content
Skip to main content

Kaunti kukarabati muundomsingi katika mitaa huko Kilifi

  • | Citizen TV
    470 views
    Duration: 2:08
    Serikali ya kaunti ya Kilifi inalenga kuboresha miundo msingi katika vijiji ili kuimarisha maisha ya wakaazi kaunti hiyo. Akizungumza baada ya kuzindua ujenzi wa barabara katika Kijiji Cha Kakoneni wadi ya Jilore, kaimu katibu wa kaunti hiyo Philip Charo amesema tayari serikali ya kaunti hiyo imekarabati barabara katika vijiji mbali mbali ili kuimarisha uchumi Kwa wakaazi.