30 Oct 2026 1:29 pm | Citizen TV 320 views Duration: 1:50 Kaunti ya Embu imeanzisha vituo maalum vya huduma za afya kwa magonjwa yasiyo ya kuambukizana katika wadi zote 20, hatua inayolenga kuimarisha utambuzi wa mapema, matibabu na udhibiti wa magonjwa hayo.