- 441 viewsDuration: 2:48Ugonjwa wa saratani ya matiti bado umesalia kuwa donda sugu kwa akina mama wengi katika kaunti ya Homa bay. washikadau mbalimbali wa Afya kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Homa bay sasa wameanza hamasisho kuhakikisha walioathirika wamepata usaidizi.