Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Homa Bay yazindua ujenzi wa kituo cha upasuaji cha shilingi milioni 500

  • | Citizen TV
    544 views
    Duration: 2:45
    Serikali kuu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Homa Bay imezindua ujenzi wa kituo cha huduma za upasuaji katika hospitali ya rufaa ya Homa Bay kitakachogharimu shilingi milioni mia Tano. Akiongoza uzinduzi huo, waziri wa ulinzi Soipan Tuya alisisitiza umuhimu wa ushirikiano katika ya serikali kuu na serikali za ugatuzi ili kuhakikisha usawa wa maendeleo mashinani .