30 Oct 2026 10:21 am | Citizen TV 1,898 views Duration: 2:14 Kaunti ya Kakamega inaendeleza juhudi za kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya ya mama na mtoto mchanga kwa kuzindua ujeniz wa wodi mpya ya wazazi katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Navakholo.