Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Murang'a kuanzisha mpango wa kutoa lishe katika shule 512

  • | Citizen TV
    398 views
    Duration: 1:42
    Serikali ya Kaunti ya Murang’a imeingia katika makubaliano na shirika la Food for Education, katika mpango unaolenga kuhakikisha wanafunzi wa chekechea na wale wa shule za msingi wanapata chakula shuleni.