28 Oct 2026 1:29 pm | Citizen TV 395 views Duration: 44s Ni afueni kwa wakazi wa eneo la Esoit kaunti ya Narok baada ya Serikali ya Kaunti hiyo kuzindua rasmi Kituo cha Afya cha Esoit-Naibor katika Eneo Bunge la Kilgoris.