Skip to main content
Skip to main content

KEBS yawaonya wafanyabiashara dhidi ya kuuza na kununua bidhaa ghushi nchini

  • | Citizen TV
    339 views
    Duration: 1:22
    Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS limewaonya wafanyabiashara kukoma kununua na kuuza bidhaa gushi nchini.