- 1,217 viewsDuration: 6:08Kenya imesema raia wake hawatasajiliwa tena kujiunga na jeshi nchini Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. Hatua hii inajiri baada ya mazungumzo kati ya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo mbili mjini Moscow. Suala hilo limeleta mjadala mkubwa nchini Kenya baada ya ripoti ya kijasusi ya mwezi Februari kusema zaidi ya Wakenya 1,000 wamesajiliwa kupigana upande wa Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. #DiraYaDuniaTV