28 Sep 2026 2:17 pm | Citizen TV 1,496 views Duration: 1:48 Timu ya taifa ya kandanda ya chini ya miaka 23 , emerging stars, itamenyana na tanzania leo kuanzia saa tisa alasiri katika mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya mechi za kufuzu kwa kombe la mataifa bora ya afrika.