- 1,581 viewsDuration: 2:51Viongozi wa Kenya Kwanza wamesisitiza kuwa rekodi ya maendeleo ya Rais William Ruto inatosha kumhakikishia muhula wa pili. Wakizungumza katika kaunti za Kakamega na Kericho, viongozi hao wameipigia debe bajeti iliyosomwa Alhamisi wakisema imeweka kipaumbele maendeleo na maslahi ya wananchi. Na kama anavyoarifu Maryanne Nyambura, viongozi wa Magharibi wamesema wako tayari kuongoza jamii ya Mulembi kuwania urais mwaka wa 2032.