Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yaitaka IEBC kupuuza madai ya wizi wa kura

  • | Citizen TV
    1,318 views
    Duration: 2:24
    Viongozi wa Kenya Kwanza sasa wanaitaka Tume ya Uchaguzi nchini IEBC kutobabaishwa na kelele za wanasiasa wa upinzani kuhusu wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, Naibu Rais Kithure Kindiki amesema upinzani unababaishwa na karata za siasa za urais mwaka ujao. Aidha, viongozi waliokuwa kaunti za Uasin Gishu na Meru wameendelea kumpigia debe Rais William Ruto, kama Chrispine Otieno anavyoarifu.