Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yamshambulia Uhuru kwa madai ya kufadhili upinzani

  • | Citizen TV
    6,307 views
    Duration: 3:26
    Kwa mara nyingine tena, Viongozi wa kenya kwanza wamemkashifu Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, wakidai anafadhili shughuli za upinzani.viongozi hao wanalalamika kuwa juhudi hizo zinalenga kulemaza ajenda za serikali, wakiwasuta wenzao wa upinzani kwa kufumbia macho maendeleo yanayotekelezwa na serikali ya rais william ruto. Viongozi hao waliendeleza kampeni za kumpigia debe rais katika kaunti za Kakamega na Busia