- 20 viewsDuration: 2:36Kenya inaimarisha juhudi za kukabiliana na uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki pamoja na kuimarisha usimamizi wa taka. Mpango huo unatekelezwa kupitia mradi wa uchumi wa mzunguko unaoongozwa na watumiaji ili kubadilisha jinsi familia , watengenezaji bidhaa na wakusanyaji taka wanavyosimamia taka baada ya matumizi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive