- 1,095 viewsDuration: 52sKenya imenyakua medali za dhahabu na fedha katika siku ya pili ya mashindano ya riadha kwenye Michezo ya Olimpiki ya Vijana mjini Dakar, Senegal. Faith Rono alitwaa dhahabu katika mbio za mita elfu tatu wanawake, huku Wesley Kiplagat akijishindia medali ya fedha katika mbio za wanaume za mita elfu mbili kuruka viunzi na maji.