Skip to main content
Skip to main content

Kesi tatu tu zafikishwa mahakamani baada ya maandamano ya 2024

  • | Citizen TV
    1,018 views
    Duration: 2:37
    Miaka miwili baada ya maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024 yaliyosababisha vifo vya watu 62, ni kesi tatu tu pekee zilizofikishwa mahakamani. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Utendakazi wa Polisi (IPOA), bado uchunguzi wa kesi nyingi haujakamilika. IPOA ikisema jumla ya watu 127 waliuawa kwenye awamu tatu za maandamano yaliyoshuhudiwa miaka miwili iliyopita.