1 Sep 2025 7:40 pm | Citizen TV 1,082 views Duration: 48s Ushahidi tofauti ulijitokeza wakati wa kesi ya kutoweka kwa Mvuvi Brian Odhiambo, ambaye zaidi ya miezi nane Sasa, hajulikani aliko.