27 Oct 2026 11:56 am | Citizen TV 26,678 views Duration: 2:13 Kikosi maalum kutoka China cha kukabiliana na majanga kinatumia teknolojia ya kisasa kusaidia kutambua mahali wapofukiwa waathiriwa wa jengo lililoporomoka mtaani eastleigh siku ya ijumaa.