Skip to main content
Skip to main content

Kikosi cha Kenya U15 charejea kutoka Azerbaijan baada ya kushiriki Kombe la Dunia la FIFA

  • | Citizen TV
    849 views
    Duration: 54s
    Kikosi cha timu ya taifa cha Kenya kwa wachezaji wa umri chini ya miaka 15 kimerejea nchini kutoka azerbaijan baada ya kushiriki mashindano ya kombe la dunia la fifa la umri huo.