- 759 viewsDuration: 3:21Mara nyingi, maji ya mvua hupotea na kuacha udongo ukiwa na kiasi kidogo tu cha unyevunyevu. Katika eneo la Tiaty, Kaunti ya Baringo, hali hiyo imewapa wakulima nafasi ya kukuza nyasi za kiasili kwa manufaa ya mifugo wao. Wakulima hao hukaushia nyasi hizo baada ya kuzivuna ili kupata lishe ya mifugo wakati wa kiangazi. Mwanahabari wetu Denis Otieno anaeleza zaidi katika makala ya wiki hii ya Kilimo biashara.