- 1,152 viewsDuration: 3:23Mara nyingi maji ya mvua hupotea na kuacha udongo ukiwa na kiasi kidogo tu cha unyevu. Katika eneo la tiaty, kaunti ya baringo, hali hiyo imewapa wakulima nafasi ya kukuza nyasi za kiasili kwa manufaa ya mifugo wao. Wakulima hao wanakausha nyasi hizo baada ya kuzivuna ili kupata lishe ya mifugo wakati wa kiangazi. Mwanahabri wetu denis otieno anaarifu zaidi kwenye makala ya wiki hii ya kilimo biashara.