- 6,961 viewsDuration: 1:23Kinara wa wiper patriotic front Kalonzo Musyoka ameikashifu serikali kwa kueneza chuki, akidai kuwa baadhi ya wakazi wa ukanda wa Nyanza wameagizwa kususia mikutano ya upinzani. Akizungumza jijini Kisumu, Musyoka amesema kuwa kutibuliwa kwa mkutano baina yake na baraza la wazee wa jamii ya Luo ni ishara ya shauku ya serikali ya rais William Ruto kuwa tayari wamepoteza umaarufu miongoni mwa wananchi. Kinara huyo aliambatana na viongozi mbali mbali akiwemo kinara wa DAP Eugene Wamalwa ambapo ameanza rasmi ziara ya ke katika eneo la Nyanza