- 48 viewsNaibu wa rais Profesa Kithure Kindiki amewahakikishia wakenya kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka ujao utakuwa huru, wa haki, wa amani na wa kuaminika. akizungumza katika makao yake mtaani karen hapa jijini nairobi, kindiki pia amesema Serikali imechukua hatua za kina kukabiliana na athari za mvua ya el nino.