Skip to main content
Skip to main content

Kindiki na Murkomen watetea maandalizi ya uchaguzi huru na haki 2027

  • | Citizen TV
    2,406 views
    Duration: 2:38
    Wanasiasa wanaounga mkono serikali wameendelea kutetea uwezo wa serikali kuandaa uchaguzi huru na wa haki mwaka ujao. Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen wameongoza juhudi za kutoa hakikisho kuwa serikali itahakikisha uchaguzi ujao unafanyika katika mazingira ya usalama wa kutosha. Aidha, wanasiasa wanawake wanaounga mkono serikali walikuwa katika Kaunti ya Nandi kuendeleza siasa hizo, kama Bonface Barasa anavyoripoti.