2 Nov 2026 1:26 pm | Citizen TV 391 views Duration: 1:56 Wakazi wa kijiji cha Orkoilang'a, eneo la Poka Kenyawa, Kajiado Mashariki, wamepata afueni baada ya kuzinduliwa kwa kisima cha maji kilichofadhiliwa na shirika la The Great Gathering kutoka Marekani.