12 Apr 2026 7:28 pm | Citizen TV 5,623 views Duration: 39s Sura mpya ya usafiri unaoendeshwa na umeme nchini Kenya, imeanza kwa uzinduzi wa kituo cha kubadilisha betri za pikipiki mtaani Karen, Nairobi.