Skip to main content
Skip to main content

Kocha wa Taifastars 'Sikufurahishwa na maamuzi ya mwamuzi'

  • | BBC Swahili
    34,545 views
    Duration: 1:22
    Baada ya timu ya taifa ya Tanzania kuondolewa kwenye michuano ya Afcon katika hatua ya 16 bora kocha Mkuu wa timu Miguel Gamond amesema walicheza vizuri dhidi ya timu kubwa ila hakufurahishwa na maamuzi ya mwamuzi wa mchezo huo. @brianmala1 @loko.omi@celestinekaroney #bbcswahili #kandanda #soka #foryou #afcon2025#taifastars🇹🇿🔥🔥 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw