Huenda wakazi wa Nairobi wakakabiliwa na msongomano wa magari, huku wakizuiliwa kupita au kuingia maeneo fulani mjini, Jumatatu na Jumanne wiki ijayo. Hii ni kulingana na vyombo vya usalama ambavyo vimesema kuwa vimejiandaa vilivyo kuweka ulinzi wakati wa kongamano la Afrika na Ufaransa, mwaka 2026.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya